Mpigie kura Bakari Khalid kutoka kahama fm, anayeuwakilisha mkoa wa Shinyanga mwenye namba MP 05 kwenda namba +255 689 666 662 kupitia mtandao wa http://voting.maishaplus.tv/index.php/voting/maishaplus ili aweze kuibuka na donge nono la shilingi millioni 25.
Vijana na Mama Shujaa wa Chakula
wametembelewa na wanasheria kutoka 'Kituo cha Msaada wa Sheria kwa
Wanawake' (WLAC). Usiondoke kwenye TV yako kwani kuna mambo mengi sana
ya kujifunza kuhusu mirathi, ndoa, wosia n.k.
0 Comments