Anaaminika kuwa kwenye wanyama
wakubwa aina ya Mbwa basi huyu
anawezekana kuwa mbwa mkubwa zaidi.
Jina alilopewa na mmiliki wake ni Freddy na anaurefu wa futi 7 na nchi 4.
Mlo wake kwa siku una Kilo 6 anaishi Uingereza.
Mtoto wa majabu azaliwa nchini cameroon, amezaliwa akiwa na jicho moja ndani ya hilo jocho kuna macho mawili, pia amezaliwa akiwa hana pua wala mdomo na amezaliwa na jinisia mbili.
Naalipo zaliwa tu haikuchukuwa muda mrefu akafariki dunia, sababu hakuwa na uwezo wa kupumua. - See more at: http://www.farajimfinanga.com/2014/04/mtoto-wa-ajabu-azaliwa-ana-jicho-moja.html#sthash.H7gzclL1.dpuf
2 Comments
dunia ina maajabu
ReplyDeletemaajabu!!!
ReplyDelete