Advertisement

Responsive Advertisement

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE AMCHANA LIVE MWENYEKITI WAKE WA CCM WA MKOA!!!


  1.  
    Labda leo niseme japo haikuwa nia yangu kusema. Bw. Henri Daffa Shekifu ( chair CCM Tanga) aliniomba nimuunge mkono Mhe. Lowasa kwenye kugombea Urais 2015. Nikamjibu kuwa hiyo siyo kazi niliyopewa Korogwe. 

    Toka siku hiyo visa vikaanza! Diwani anaemsema kesi yake iko mahakamani kwa kuchochea watu wakachome maboma na mazizi ya wafugaji!

    Yeye jana kasema Bungeni, mimi si mbunge, natumia forum hii!

Post a Comment

0 Comments