Ni
mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya poa sana katika music industry
hapa Tanzania na kupelekea kupata fans wengi kila kukicha, hapa
anatuelezea style
2. Unanunulia wapi pamba zako?
1.Unaweza ukatuelezea kuhusu style zako?
Napenda
kujiweka simple katika mwili wangu bila kuwa na vikorokoro kibao may
be utanikuta na miwani, saa na hereni na kama ni nguo napenda kuvaa
different styles it depend na wapi ninapoenda.2. Unanunulia wapi pamba zako?
Huwa nanunua katika maduka tofauti kama Kinondoni, Msasani, Mlimani City and other nanunua online.
3. Fashion ipi ya mavazi huwezi kukutwa umeivaa?
Ku-copy fashion ya mtu hata kama ni mpya huwa sipendi.
4. Muonekano gani wa mavazi unautamani kuujaribu?
Natamani
sana kujaribu muuonekano wa gosick fashion mara nyingi wanavaa sana
Rock stars wa Marekani utamkuta kavaa full black from top to bottom.
5. Celeb gani wa ki-Bongo wanakuvutia kwa mavazi yao?
6. Una pair ngapi za viatu?
I have many pair of shoes, am so crazy man and sometime huwa navigawa kwa ndugu zangu coz siwezi kukaa na kitu bila kukivaa.
7. Uzuri wako unatokana na nini?
Ni kujiweka naturally bila kujirundika make up, so napenda sana kuwa simple coz is the best to me.
0 Comments