Advertisement

Responsive Advertisement

LAANA..!! WASANII HAWA WA KUIGIZA WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA GESTI



Wasanii hawa wamaigizo maarufu kutoka nchini nigeria walinaswa wakivunja amri ya sita bila uoga, wasanii hao ambao inasemekana ni wapenzi walikua location
wakishoot movie ya kawaida tu, inasemekana wawili hao walijifungia chumbani pale watu wote walipotoka kwenda kupata chakula cha mchana baada ya pilika za kurekodi, wasanii hao walianza kula tunda bila ya kuwa na habari kuwa kuna camera ambaozo zilikuwa zametengeshwa ndani ya hotli hiyo, 


Post a Comment

0 Comments