Tukio hili la kustahajabishA lilitokea
nchini kenya ambapo mbuzi katika hali ya kushangaza alizaa kitotoambacho
kiwiliwili ni cha mbuzi na kichwa ni cha binadamu, tukio hilo liliza gumzo miongoni mwa wanakijiji waliohudhuria tukio hilo kkwani wengi wanasema ni tukio la kwanza kutokea mtaani hapo, wengi wao walikiushisha kitendo hicho na imani za kishirikina huku wengine wakidai ni miujiza tu ya mwenyezi mungu, hata hivyo kimwanambuzi hicho kilifukiwa kwani tayari kilikua kimeshafariki
TOA MAONI YAKO HA


0 Comments