Mkazi
mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja wa mji mdogo wa Tunduma
uliopo Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya akiwa amelala barabarani baada ya
kugongwa na bodaboda maeneo ya Kilimanjaro Wilayani hapa leo.
Kwa
haraka mkazi huyo amewahishwa katika hospitali ya Serikali iliyopo
katika mji huu kwa matibabu zaidi (PICHA NA BAHATI KAYANGE)
eddy.blog
0 Comments