Magazeti
mengi yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge
Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, hali iliyomfanya Zitto afunguke
kuhusiana na ishu hiyo.
“Hapana
nadhani hizo ni tetesi kwa sababu sijatoa kauli yoyote kuhusiana na
hilo na moja mimi bado mwanachama wa Chadema kwa sababu nina kesi
mahakamani na kesi hiyo haijaamuliwa,bado inaendelea.
0 Comments